Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

WAKALIMANI WANAHITAJIKA

 Habari za leo ndug zangu hope mko poa, Nina habar njema natafuta Wakalimani(Translators) wanaojua lugha ya kichina vijana kama sita ivi kazi yao kutafsir watakuwa na hao wachina ambao hawajui lugha yyte zaid ya lugha yao, working station ni Tabora 

Salary 1.5ml mpk 1.6 ml per month pia overtime zipo, Malazi juu yetu,chakula kama mpo au wapo available wanichek tafadhal hata mda huu ili kesho niwaconnect HQ asubuh ahsante🙏

Contact 0713 297155

Post a Comment

0 Comments

Click to Chat