Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

WANAHITAJIKA VIJANA WENYE EXPEIENCE YA VIDEO PRODUCTION

Habari kaka, Naomba unipositie kwenye group lako nipate watu wafuatao:- 1: Nahitaji kijana(jinsia yoyote) mwenye kipaji na aliebobea katika teknolojia ya Green Screen Movie editing. 2:Nahitaji kijana(jinsia yoyote) mwenye kipaji na aliebobea katika maswala ya Media production and communication na Contents Creation. 3:Nahitaji kijana mwenye kipaji na mbobezi katika maswala ya Movies Makeup Transformation (mfano mionekano ya Movies za mazombi). 4: Nahitaji kijana (jinsia yoyote) mwenye kipaji na aliebobea katika maswala ya Movie scripts writting , Movie directing , Music Video directing,etc. Mawasiliano: *+255621246669* ( Tuma ujumbe Whatsapp tu usipige simu).

Post a Comment

0 Comments

Click to Chat